Institute of Lands - Announcements
Matokeo ya Mitihani
Matokeo ya mitihani iliyofanyika January 2020, Taasisi ya Ardhi Dar es Salaam.
Muhula mpya wa Masomo 2019/2020 September Intake
TAASISI YA ARDHI DAR ES SALAAM YENYE USAJILI WA NACTE NAMBA REG/EOS/042, ILIYOKO MBEZI BEACH SALASALA, INATANGAZA NAFASI ZA MASOMO KWAINTAKE YA SEPTEMBER KWA MWAKA WA MASOMO 2019/2020 KWA NGAZI ZA ASTASHAHADA NA STASHAHADA KATIKA KOZI ZIFUATAZO:
- ARCHITECTURE (UBUNIFU NA USANIFU MAJENGO)
- GEOMATICS (LAND SURVEY) (UPIMAJI ARDHI NA RAMANI)
- LAND MANAGEMENT AND VALUATION (USIMAMIZI ARDHI NA UTHAMINI)
- URBAN AND REGIONAL PLANNING (MIPANGO MIJI NA VIJIJI)
MWOMBAJI WA NGAZI YA ASTASHAHADA AWE AMEHITIMU KIDATO CHA NNE NA AWE NA UFAULU WA ANGALAU ALAMA “D” KWENYE MASOMO MANNE. MWOMBAJI NGAZI YA STASHAHADA AWE AMEHITIMU KIDATO CHA SITA ANA AWE NA UFAULU WA ANGALAU PRINCIPAL PASS MOJA NA SUBSIDIARY MOJA AU AWE AMEHITIMU NGAZI YA ASTASHAHADA KWENYE KOZI HUSIKA.
MWISHO WA MAOMBI NI TAREHE 20 AUGOST 2019. PAKUA FOMUYA MAOMBI KUTOKA TOVUTI YA CHUO www.ild.ac.tz, IJAZENA KISHA ITUME KWA BARUA PEPE landsinstitute@gmail.com IKIAMBATANISHWA NA RISITI YA ADA YA MAOMBI YA TSHS. 30,000/- NA ILIPWE NMB ACCOUNT NAMBA 23110001770, AU CRDB ACCOUNT NAMBA 0150293554600, (INSTITUTE OF LANDS DAR Co. LTD).
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU NAMBA
0654 423 494, 0655 692842 AU 0623 344230, USIKOSE KOZI HIZI ADIMU KWA AJIRA YAKO.
WOTE MNAKARIBISHWA
Download Word Document